Monday, 29 February 2016

HISTORIA FUPI KUHUSU SIMBA

Simba ni wanyama wenye nguvu ambao mara zote huwinda kwa makundi na kumkazania windo walilochagua. Hata hivyo hawajulikani sana kwa stamina yao, kwa mfano, moyo wa simba jike unajumisha tu asilimia 0.57 ya uzito wa mwili wake ( wa dume ni asilimia 0.45 ya uzito wa mwili wake), wakati ule wa fisi ni karibu na asilimia moja ya uzito wake. Hivyo basi japokuwa simba anaweza kufikia mwendokasi wa km 81 kwa saa, wanaweza kufanya hivyo kwa mwendo mfupi tu na inawapasa kuwa karibu na mawindo kabla ya kuanza shambulio. Hutumia mwanya wa kupunguza uoni; kwa kufanya uwindaji sana nyakati za usiku


 MIFANO MBALIMBALI KUHUSU SIMBA MNYAMA
Image result for maisha ya mnyama simba katika hifadhi ya mikumiImage result for maisha ya mnyama simba katika hifadhi ya mikumi 
 Image result for maisha ya mnyama simba katika hifadhi ya mikumiImage result for maisha ya mnyama simba katika hifadhi ya mikumi

No comments:

Post a Comment